Pages

Friday, October 11, 2013

NGOMA MPYA:- MADEE - TEMA MATE....VERY HOT



Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Pombe Yangu, sasa msanii kutoka manzese maarufu kama Madee ameamua kuachia rasmi ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Tema Mate.
Ngoma hii imefanywa ndani ya Studio Ya Mj Records chini ya Producer Marco Chali.

0 maoni:

Post a Comment

Labels