Hii Itawashangaza wengi lakini mie
nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na
Kuuliza kama kweli washindi wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa
wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo
...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu
kutazama show hiyo
wing888 slot เกมสล็อตแตกง่าย บริการไวปลอดภัยสูง
5 weeks ago






0 maoni:
Post a Comment