Pages

Sunday, October 13, 2013

THE GAME AJIUNGA NA CASH MONEY RECORD'S



Onicar Tanya Maraj a.k.a Nick Minaj,Dreezy au Drake na Lil Wayne wamepata Lebal Mate Mpya ambaye amejiunga Rasmi na Familia ya YMCMB si Mwingine ni Rapper The Game.


Tangazo hilo la Game kujiunga na Labal hiyo lilitolewa na Birdman kwenye Twitter.


Awali Rapper huyo wa Compton (33) alikuwa amesaini Label na Interscop Record Label na kwa kipindi chote hicho Game Alifanikiwa kuachia Album Tatu ikiwemo ya Kwanza The Documentary ya mwaka 2005 aliyoitoa kwa ushirikiano na G Unit Records

0 maoni:

Post a Comment

Labels