Leo
nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA.
Hii
itaniwezesha kuweza kutanua zaidi wigo wa soko la Muziki wangu na
kuwafikia mashabiki wangu sehemu mbali mbali duniani na Quality ya juu
zaidi, kwa wale wote waliokuwa wakiniulizia watapataje muziki wangu wa
zamani na wa sasa tena kwa kiwango cha juu kabisa kaeni mkao wa
kula....MUNGU AWABARIKI SANA!!
0 maoni:
Post a Comment