Pages

Sunday, October 20, 2013

Matokeo ya Simba vs Yanga Oct 20 2013, Possession, Shots, Corners, wafungaji na vikosi vizima.

6 
Ni mechi ambayo inaingia kwenye kumbukumbu za Watanzania wanaozifatilia hizi timu mbili sana ambapo mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Yanga ilikua inaongoza kwa kuwa na magoli matatu huku Simba ikiwa haina hata moja ila kwenye kipindi cha pili Simba wakarudisha magoli yote aisee.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Ngassa kwenye dakika ya 15 na mengine mawili yamefungwa na Kiiza dakika ya 35 na 45 ambapo magoli ya Simba yamefungwa na Mwombeki dakika ya 54, Owino 57 na Kaze 83.
Hii ilikua wakati wa Half Time.
Hii ilikua wakati wa Half Time.
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Simba
Picha zote ni kutoka kwenye screen ya Azam TV.

0 maoni:

Post a Comment

Labels