Pages

Tuesday, October 15, 2013

WEMA SEPETU, LULU MICHAEL, BOB JUNIOR NA WOLPER KUSTAAJABISHWA NA HABARI ZA MAGAZETINI .


fresh
Hii ni hali ya kusikitisha kwa waandishi baadhi wa Tanzania tena wamiliki wa magazeti kutokufanaya kazi zao kitaalamu .

Hivi karibuni kumekuwa na umbea na udaku juu ya wasanii pamoja na masuper star wa bongo wakiongelewa kwa mambo ya ajabu kwenye magazeti. Hali hii inapelekea muhusika aliyeandikwa kushangaa na kustaajabu . 

Hii imetokea kwa wasanii hawa baaadhi LULU MICHAEL,WEMA SEPETU, BOB JUNIOR, na JACKLINE WOLPER. ukitazama picha hizo hapo chini utaona kwamba wasanii hawa pia walikuwa wakistaajabishwa na habari zisizorasmi .

Ujumbe.
Ukiwa mhariri wa gazeti jaribu kuifanya kazi yako  kwa utaalamu na kuwa na habari zenye uhakika ili zifikie jamii husika . 

Kwa kufanya hivyo tutakuwa na maendeleo katika mambo mengi kwani kwa sasa inaonyesha Tanzania tumegubikwa na mambo ya kimbea yasiyoleta maendeleo . 

Tukumbuke tukiwa kama wahariri kazi yetu ni , KUKOSOA, KUFUNDISHA, NA KULETA MAENDELEO.
2013-10-15 18 08 11 2013-10-15 18.11.03 2013-10-15 18.12.08

0 maoni:

Post a Comment

Labels