Pages

Wednesday, October 09, 2013

TAARIFA MUHIMU KWA WAIMBAJI WA KIKE WENYE VIPAJI KUTOKA KWA LADY JAYDEE


Nyota wa kike wa muziki hapa Nchini Lady Jaydee ametoa taarifa muhimu kwaajili ya waimbaji au wasanii wa kike wenye vipaji.

"Tunaanza kuandikisha majina ya waimbaji wa kike tu, kuanzia kesho tar 9/10/13 saa 12:00 jioni. Pale NYUMBANI LOUNGE.

Kama unaamini unaweza kuimba nyimbo za aina zote kwa Lugha ya Kiswahili, Kiingereza, Kichina hata na Lugha zingine pia unakaribishwa.

Usaili huo utakuwa unafanyika siku za Jumatano na Alhamisi tu, kwa muda wa mwezi mzima", Lady Jaydee amesema



0 maoni:

Post a Comment

Labels