Pages

Tuesday, October 01, 2013

LEO OCTOBER 2 NI SIKU YA KUZALIWA KWA NYOTA HUYU..



Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki nyota kutoka hapa nchini maarufu kama Diamond Platnumz. 
Nyota huyu ni ametokea kukubalika katika jamii tofauti kutokana na kazi yake ya muziki anayofanya ambapo hadi sasa amekwisha achia baadhi ya ngoma zake ambazo zinafanya poa sana katika media tofauti za ndani na nje ya nchi.

0 maoni:

Post a Comment

Labels