Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu na Fans wa Msanii anayewakilisha TA Roma Mkatoliki inatarajiwa kuachiwa Rasmi Mwezi Novemba 01 Mwaka Huu.
Taarifa
za Ujio wa Video hiyo zimetolewa na Muongozaji wa Video Hiyo ambaye
alishafanya Video kadhaa kama Listen,Jikubali n.k si mwingine
“Nisher”.
Tunaendelea - Kipande kingine tena hiki hapa tena, cha 2030 ya Roma
Mkatoliki,, wait wait this Friday ni zaidi ya Display katika Screen
yako.
0 maoni:
Post a Comment