Pages

Monday, November 05, 2012

VISU VIKALI NI CREW MPYA INAYOUNDWA NA WASANII WAWILI.



 Blad key
Ni kundi jipya ambalo linataka kuleta mabadiliko katika Game la muziki wa kizazi kipya Tanzania (Bongo Fleva).

Kundi hilo linajumla ya wasanii wawili ambao wao pia wanafanya vizuri katika Game wasanii hao ni BLAD KEY a.k.a Mr Vinapanda Bei na PICCO wa Kikongwe.

Wakipiga Stori Katika Kipindi cha 970 Show kinacho rushwa na Redio Kitulo Fm na Mtangazaji Ergon Elly wasanii hao wamesema kama kuna Mtu yeyote ambaye anaweza kujitokeza ilikulisupport kundi wapo tayari kwani mpaka sasa hawajampata Mtu yeyote.

Tangu kuundwa kwa kundi hilo wasanii hao wamesha Record Ngoma mbili ya kwanza inaitwa NEW DAY imetayarishwa na CRISTONE katika Studio za NK na ya pili inaitwa SAUTI YA REDIO nah ii imetayarishwa katika Studio za GOFF Records.

Na Ngoma ambayo itaanza kuachiwa katika Vituo vya Redio Baada ya wiki mbili kuanzia Leo na Video itafuata ndani ya wiki Mmoja.

NB;Kama unataka kusimamia Crew wasiliana nao kwa namba hizi;

PICCO;-   0652 653 828
BLAD KEY;-0713 243 266

0 maoni:

Post a Comment

Labels