Pages

Monday, November 05, 2012

HILI NDILO KUNDI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP KUTOKA MAKETE WALIPOTAMBULISHA REKODI YAO MPYA

 Wasanii wa kundi la Empowerment Music Group YJ na MR RED wakifanya mahojiano na mtangazaji Ergon Sanga "Elly" katika 970 show ya Kitulo FM mchana huu

Kundi la Empowernment Music Group lililotamba na wimbo wa Mapenzi na shule hivi sasa limeachia rekodi yao mpya inayoitwa Si kosa lake hii leo kupitia studio za KItulo FM

Ngoma hiyo wameifanyia katika studio za Digital Vibes zilizopo mkoani Morogoro Under The Hit Maker GihCue na endelea kufuatilia matandao wa ergonelly.blogspot.com ilikuipata ngoma hiyo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels