Pages

Friday, November 02, 2012

ASLAY AMETAJWA KUWANIA TUZO ZA KORA 2012 NA WENGINE KIBAO







Nyota wa muziki wa kizazi kipya Aslay Sadiq 'Dogo Aslay' Pia ni Msanii mwenye umri mdogo kutoka Mkubwa na wanae Dogo Aslay ametajwa kuwania tuzo za kora dogo huyo ametajwa kama msanii mpya katika Tuzo za kola kwa mwaka 2012(BEST MALE NEWCOMER).

Ngoma ambayo inahusika ni NIWE NAWE na Tuzo hizo zimeshirikisha Nchi mbalimbali kama vile UGANDA,ZAMBIA,BURKINA FASO,AFRIQUE DU SUD,NIGERIA.


Wasanii wengine kutoka Bongo ni LADY JAY DEE,SAIDA KAROLI na ALI KIBA

0 maoni:

Post a Comment

Labels