Pages

Thursday, November 01, 2012

PASHA SIJAPENDEZWA NA ISHU YA DIAMOND PLATNUMZ



Mkali wa ngoma ya Amekua Pasha amesema kitendo cha msanii mwenzake wa Bongo fleva Diamond kucopy idea ya nyimbo za wasanii wengine sio kukua kwa muziki hapa nchini.

Akipiga stori kwenye kipindi cha 970 show na Ergon Elly leo amesema wanampango wa kukutana PASHA,SHEDY CLEVER NA H BABA Ilikuongea kwa pomoja kuhusiana na kitendo hicho

Endelea kufuatilia mtandao huu iliupate habari zote...

0 maoni:

Post a Comment

Labels