Pages

Monday, November 12, 2012

RIHANNA AZUNGUMZIA KUHUSU RIPOT MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

Rihanna amesema ripoti au Habari za vyombo vya habari  na mitandao ya kijamii inayomzungumzia yeye kuna wakati mwingine vyombo hivyo huwa vinaripoti habari za uongo zinaonekana kuwa kama za kweli lakini hauwezi kuwachukia watu kwa kukufikiria wanavyokufikiria kuhusu yeye na maisha yake

Kimwana huyo ambaye anaripotiwa kurudiana na boyfriend wake wa zamani si mwingine ni Chris Brown  ''Chris Brezy" amesisitiza kuwa maisha yake binafsi yatabaki kuwa kama yalivyo na hakuna mtu atakaye yabadilisha na hayapaswi kuwapasua vichwa wengine

Binti huyo mwenye umri wa miaka 24 amesema anataka atakapofikisha miaka 30 awe bado mwembana na kifua chake kiwe bado kimesimama kama ilivyo sasa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels