Pages

Wednesday, November 14, 2012

MSANII ANAYEWAKILISHA KUNDI LA EMPOWERMENT "EFRAIM EDWARD AMETOA MAANA YA A.K.A YAKE"


Mr RED aliyevaa t shirt rangi nyekundu
Msanii anayewakilisha kundi la Empowerment Music Group(EMG) Efraim Edward a.k.a Mr RED Leo katika kipindi cha 970 show kinachorushwa na Redio Kitulo Fm ameelezea maana ya a.k.a yake.

Mr RED kwa mara ya kwanza imeanza kutumika mwezi wa 6 mwaka 2011 hii ni mara baada ya kuachia ngoma yake ya kwanza ambayo ilitwa UKO MBALI na ilifanyika Morogoro katika studio za Moro Town Record's na producer Cady.

A.k.a yake alipewa na rafiki yake ambaye kwa kipindi hicho alikuwa anasoma chuo kikuu na alikuwa anamaanisha kutoa kila kitu kinachoweza kuifaa na kuifundisha jamii kwa kupitia nyimbo (Releasing Every Dreams)

0 maoni:

Post a Comment

Labels