Pages

Saturday, November 10, 2012

TEAM RACERs KUTOKA MOROGORO (MO TOWN) JUMATANO WATARELEASE NYIMBO ZAO MPYA MBILI

Hii ni studio iliyohusika katika ngoma zote
Digtal Vibes

Kwa wale wanao pendelea Nyeuuusi au Hip Hop basi kaa mkao wakula wiki lijalo siku ya Jumatano Team Racers kutoka Morogoro (Mo - Town) litaachia ngoma mbili na wakati Mkali Stamina ameshirikishwa katika kazi hizo pia yeye ataachia punch ofter punch Remix na The Hit Maker anaitwa GihCue (GQ TownDad GQ) kutoka katika Studio za Digtal Vibes zilizopo Mo Town.

Stamina katika picha

Na Joint ya pili imemhusisha msanii wa Hip Hop Mabeste Raid kutokaTeam Racers Moro na Stamina, Akipiga stori na Ergon Elly GQ amesema ngoma zote hizo zimetengenezwa katka studio za Digtal Vibes na mafuns wakae tayari kwa new hits hizo za hatari.

0 maoni:

Post a Comment

Labels