Pages

Friday, November 09, 2012

ALBUM MPYA YA RIHANNA YA UNAPOLOGETIC INATARAJIWA KUINGIA SOKONI NOVEMBA 19 MWAKA HUU

Mwimbaji Rihanna ameachia albamu yake ya saba inayokwenda kwa jina la 'Unapologetic', mwanzoni mwa wiki hii ambayo amewashirikisha wasanii kama vile Eminem na mpenzi wake waliyerudiana hivi karibuni Chris Brown

Wimbo wake na Chris Brown teyari umeshawekwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwa wanacheza, unakwenda kwa jina la Nobodies Business'

Albamu hiyo inatarajiwa kuwa na nyimbo kumi na tano ukiwemo 'Love the Way You Lie', aliyomsirikisha Eminem, huku album hiyo inatarajiwa kuingia sokoni Novemba 19 itakuwa na wimbo 'Unapologetic' utakaobeba albamu hiyo inayotarajiwa kuzinduliwa katika nchi saba ambazo bado hazijawekwa wazi.

Song          YearAlbum
Where Have You Been2011Talk That Talk
We Found Love2011We Found Love
Man Down2010Loud
Umbrella1990Now, Vol. 17
Rude Boy2009Rated R
Only Girl2010Only Girl
What's My Name?2010Loud
S&M2010Loud
Only Girl in the World

Disturbia1996Just Dance
Don't Stop the Music1996Just Dance
Unfaithful2002Pepsi: More Music, Vol. 2
California King Bed2010Loud
Te Amo2005Radio Eska: Impreska, Vol. 4
You Da One2011Talk That Talk
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


0 maoni:

Post a Comment

Labels