Pages

Friday, November 09, 2012

BARNABA ASEMA ANAFANYA MICHAKATO YA KUKAMILISHA PROJECT ANAYOTAKA KUFANYA NA FALLY IPUPA

Msanii wa kizazi kipya wa hapa nchini almaarufu kama Barnaba anayefanya ngoma zake kali na kupeleka mpaka mashabiki kukubali kazi anazozifanya hapa Tzee kama,Nabembelezwa,Sipendi Dharau,Milele Daima,Sorry sasa

Latest info kutoka kwa Barnaba  kama unakumbuka kipindi cha nyuma alifunguka na kusema kwamba ameongea na Fall Ipupa kuhusu kufanya naye collabo sasa leo baada ya kupiga naye story aliweza kuniambia kwamba kwa sasa anamalizia kwanza vitu vyake halafu ndipo baada ya hapo ataweza kuanza rasmi project mpya ambayo anatarajia kufanya na Fall Ipupa.
 
Baada ya kumaliza kusema hivyo pia alisema kwamba wiki ijayo anatarajia kufanya video yake mpya ya Sorry chini ya  Director Adamu Juma@ Next Level

0 maoni:

Post a Comment

Labels