Pages

Tuesday, November 13, 2012

PAH ONE WAMALIZA PROJECT YAO MPYA

Wasanii wanaofanya vizuri hapa Bongo almaarufu kwa jina la Pah one sasa baada ya kutamba na ngoma kadhaa kama Amatita,Ghetto,Asambeni na ngoma nyingine kali

Hawa wasanii yaani " Nahreel,Ola,Aika & Igwee" leo wameandika katika ukurasa wao wa Facebook kwamba wamemaliza project yao inayokwenda kwa jina la I wanna get paid kwa hiyo wewe kama mshabiki wa Pah one kaeni tayari kwa ujio mpya wa kundi hili linalo tikisa hapa Tzee kwa ngoma zao kali.
Huu ni ujumbe walio u post katika ukurasa wao na kusema hivyo.

 

0 maoni:

Post a Comment

Labels