Pages

Friday, November 09, 2012

PICHA MBALIMBALI WAKATI WA UANDAAJI WA VIDEO YA WIMBO WA UMENUNA

Mara baada ya kufanya kichupa cha wimbo wake wa MAUMIVU na Video hiyo tayari imeachiwa katika vituo mbalimbali vya Runinga sasa Msanii Chambo yupo kwenye harakati za mwisho Za kuandaa kichupa kingine cha wimbo wake Mpya ya UMENUNA uliotengenezwa katika studio za Golden Heart Studio.


Mkali huyo kutoka Jijini Mwanza alisha wahifanya poa na kazi kama RABA RABA ambayo ilitengenezwa na Lollipop(Lolly Mwaah!)

Jipange kwa bonge moja la joint kutoka kwa CHAMBO RABARABA.

0 maoni:

Post a Comment

Labels