Pages

Wednesday, November 07, 2012

PRODUCER WA BURN RECORD'S SHEDDY CLEVER AMEWATAKA WASANII WA BONGO KUWA WABUNIFU


Producer Sheddy Clever Burn Records Iliyopo Tabata

The Hit Maker kutoka Burn Records si mwingine ni SHEDDY CLEVER amewashauri wasanii wa Muziki wanaoiwakilisha Tanzania kuwa wabunifu na kuumiza kichwa nasio kucopy kazi za wasanii wenzao ilikupunguza au kuepusha migogoro ambayo inatokea baina yao.

Akipiga stori na Ergon Elly katika kipindi cha 970 Show ambacho kinarushwa na Redio Kitulo Fm iliyopo Wilayani Makete Jana Mchana Sheddy alisema anashangazwa na Producer wa Mwaka katika Tuzo za KTMA 2011 Wa AM Record’s Maneck kutumia Idea yake katika wimbo mpya wa Diamond Platnumz wa Nataka Kulewa kwani Beat lililotumika linafanana na Wimbo wa Pasha wa Amekua ambao amemshirikisha Tunda Man wa TIP TOP CONNECTION

Nilipomuuliza kuhusu kuchukua Hatua  Sheddy amesema jukumu hilo analo mmiliki wa wimbo ndio anaweza kufungua mashitaka.

Mgogoro huo ulianza pindi Diamond Platinumz kuachia ngoma yake mpya ya NATAKA KULEWA ambapo H Baba aliibuka nakusema msanii huyo aliiba kazi za wasanii hao.

Sheddy alimaliza kwa kusema kwa kitendo alicho kifanya Naneck sio mpango kwa kinaweza kuzalilisha.

0 maoni:

Post a Comment

Labels