Pages

Wednesday, November 14, 2012

NEW HIT;-PUNCH AFTER PUNCH REMIX - STAMINA FEAT TEAM RACERZ


Msanii Stamina kutoka pande za Moro amedondosha ngoma yake ambayo anasema ni maalum kwaajili ya mashabiki wa Morogoro ambako ndiko alikotokea.
 
Stamina Ametumia beat ya Mwanza Mwanza ya Fid Q, SIKILIZA ngoma halafu mwenyewe utaona kama kapita kwenye hiyo beat ya Fid poa au niaje



Song : Punch After Punch Remix

Artist ; Stamina Ft Team Racers

Studio: DIGITAL VIBES

Prod GQ/CALVIN

Copyright : DIGITAL VIBES/SNAP RECORDS

Enjoy..
--
GihCue
Tha TownXon
+255657659969

0 maoni:

Post a Comment

Labels