Pages

Sunday, November 04, 2012

KIMBUNGA KIMESABABISHA KUAHIRISHA SHOW


Hafla ya hisani ya 'Black Ball ya Alicia Keys imeahirishwa kutokana na kimbunga  kilichopiga Marekani na kuleta hasara kubwa

Alicia alitarajia kufanya hafla hiyo ya tisa ya kila mwaka kwa ajili ya kuchangia mfuko wake wa hisani ya KEEP A CHILD ALIVE alhamisi lakini kutokana na kimbunga hicho Shughuli iliahirishwa.

Kimbunga hicho kilisababisha Wamarekani zaidi ya 40 kuaga Dunia. 

Hata hivyo Ratiba ya Show imesogezwa mpaka Tarehe mpya Itakapotangazwa tena nawanii waliokuwa wanatarajiwa kusindikiza show hiyo ni kama Beyonce a.k.a Bey, Carole King Angelique, Kidjo na Alabama Shakes.

Na Mapato yote yatakayopatikana yatakwenda kusaidia watu walioathirika na Ukimwi Barani Afrika na India

0 maoni:

Post a Comment

Labels