Pages

Thursday, December 13, 2012

Jay-Z Atumia Dola 20,000 Ku-Support Kazi Ya Sanaa!

Msanii kutoka Brooklyn, New York, rapper Jay-Z jana usiku wa jana alitumia dola za kimarekani 20,000 katika kazi ya sanaa ya msanii Hebru Brantley.

Katika kuonesha kuwa, sio muziki peke yake, ila pia anazimia kazi za sanaa zingine kama michoro n.k. Jigga Man alifanya hivyo katika foundation ya Russell Simmons ijulikanayo kama "Rush Philantrophic Arts Foundation" na kununua piece of art kutoka kwa msanii huyo kutoka Chicago.

Hebru (mwenye miaka 31) alimshukuru Jay-Z na Beyonce kwa kununua mzigo huo wa sanaa ukijulikana kama Everyones Scared na kuonesha ni jinsi ana-support kazi zao.

Icheck hapa chini kazi hiyo:

0 maoni:

Post a Comment

Labels