Pages

Friday, December 21, 2012

Kim Kardashian Atishia Kujitoa Instagram

        
Instagram imeendelea ku-make headlines wiki hii hasa baada ya kutangaza vigezo na masharti yake mapya hivi karibuni.

Superstar wa Reality TV Show, mfanyabiashara na model maarufu duniani, Kim KInstagram endapo watatumia picha zake zilizomo kwenye mtandao huo. ametangaza kwa rafiki zake kuwa ataingia matatizoni na Kim K aliongeza kuwa kama wataamua kuzitumia kweli, basi hana budi kujitoa katika mtandao hu.
        
Kim K mwenye followers wengi zaidi duniani, yaani 5, 726, 343 ametishia ametishia kufunga account yake hiyo na kuondoka na followers wake. 

Hii inaweza kuonekana utani, ila kama Kim atajitoa anasema atapata support kutoka kwa familia yake, yaani Khloe, Kyle, Rob na Kendall ambao pia wako kwenye list ya watu 10 bora wenye followers wengi Instagram.

Kim sasa anasubiri endapo kampuni ya instagram itabadili tena maamuzi yao tofauti na hapo, yeye anatoka

0 maoni:

Post a Comment

Labels