Pages

Tuesday, December 11, 2012

Msanii kutoka Nchini Kenya Kenrazy Arudi Tena

Msanii maarufu ambae anatoke pande za Nairobi Kenya maarufu kama Kenrazy ametangaza kurudi tena.

Ken Razy ambae alitamba sana na ngoma yake iliyokuwa inaitwa Ti-chi na kufanya watu wengi waweze kumkubali sana.

Sasa latest news ni kuwa hivi karibuni ataachia ngoma yake mpya iitwayo ''Kura Burndem'',track hiyo anatarajia kuiachia siku ya tarehe 12/12/2012.

Pia siku hiyo atatoa na video ya nyimbo hiyo ambayo pia ipo tayari.

Video hiyo ambayo ameilezea kidogo kuwa kuna baadhi ya scene amechezea juu ya paa la jengo la KICC,sehemu nyingine ni ndani ya baadhi za club ambazo zipo mjini Nairobi na nyingine amefanyia ndani ya studio aliyo recodia ngoma hiyo.

Pamoja na hayo msanii huyo ameweza kuachia Lyrics za ngoma yake hiyo.

Tazama hapo chini.....

0 maoni:

Post a Comment

Labels