Pages

Tuesday, December 18, 2012

Lady Gaga Aendeleza Vituko

 Superstar kutoka kwenye label Ya Konvict Music, Lady Gaga azidi kuushangaza uma baada ya kile alichokuwa amevaa hivi karibuni... 

Star Gaga (26) ambae ni mwanamitindo na pia anafanya muziki aina ya Pop ambazo ni shughuli zinazomfanya aweze kuwa juu kadri siku zinavyokwenda, juzi kati Star huyu siku ametoa kali ya mwaka kwa alichokuwa amekivaa kichwani wakati akitoka kwenye Hoteli moja iliyoko New York City.

Gaga alionekana amevaa kitu kama mask hivi au kwa jina la kitaalam zaidi unaweza kuita ''Cage''. 

Dada huyu aliwaacha mashabiki wake midomo wazi na maswali mengi vichwani mwao....
Check picha zaidi hapa chini:

0 maoni:

Post a Comment

Labels