Pages

Friday, December 21, 2012

CHECK OUT NA LOGO NA MAANA YA RANGI ZAKE YA KUNDI LA WATANASHATI ENTERTAINMENT

 
 Leo kundi la Mtanashati ambalo linaundwa na wasanii kama Dogo Janja, PNC, Amazon na wengine.Logo hiyo Maalumu ya Kampuni ya Mtanashati Entertainment inamaanisha;
Duara Nyuma ya M juu , inamaanisha Ostaz Juma
M -Inawakilisha Musoma
na MTANASHATI.
Kwa upande wa rangi logo hii ina rangi tatu
NYEUPE , NYEKUNDU , NYEUSI
NYEUPE;- inawakilisha Utanashati au usafi
NYEKUNDU;- inawakilisha Kufanya kazi kwa bidii
NYEUSI;- Inawakilisha Afrika

0 maoni:

Post a Comment

Labels