Pages

Monday, December 17, 2012

DAYNA KUPIGA COLLABLE NA CINDY


Mwanadada anyefanya poa na kazi zake kama "nivute kwako aliyomshirikisha Barnaba Boy,Unataka nini" na zingine nyingi kwa kipindi cha nyuma si mwingine ni Dayna Nyange kutoka Morogoro(Mo-Town) amethibitisha kuwa yupo kwenye maandalizi ya kufanya collable na msanii wakike kutoka Kampala nchini Uganda na ambae alishawahi kuwa katika kundi la Blu 3 na baadae kutoka na kufanyakazi kama msanii wa kujitegemea "CINDY"

Akipigastori na Ergon Elly kwenye kipindi cha 970 Show kinachorushwa na Redio kitulo Fm Dayna amesema kuwa anampango huo na mambo yakiwatayari atasafiri kuelekea Uganda ili kufanya collable hiyo  pia kuna vitu mwanadada huyo anataka kujifunzana,ilikuleta mabadiliko ya kimuziki pindi akiwa Uganda na kwasasa yupo kwenye hatua za kurekodi Video ya wimbo wa UNATAKA NINI na NENDA NENDA ambayo ni ngoma mpya na ni Mkono wa Producer C9 wa Kili Record's na Huu ulikuwa nimpango wake wa muda mrefu wa kufanya collable na Cindy.

Tusubiri kati ya Video ya UNATAKA NINI au NENDA NENDA.....................

0 maoni:

Post a Comment

Labels