Pages

Friday, December 14, 2012

BWANA MISOSI KUJA NA MIONDOKO YA RHUMBA

Msanii anaefanya muziki wa kizazi kipya, yaani Bongo Flava ambae aliwahi kutamba na ngoma kama Nitoke Vipi, Mabinti wa Kitanga na nyingine nyingi, Bwana Misosi ameamua kuja na ujio mpya wa miondoko ya Rhumba... YEAH!! na ni katika wimbo wake mpya anayotarajia kuutoa mwezi huu. 

Hii ni kwa fans wote wa Bwana Misosi , jamaa kajipanga upya na sasa anakuja na mtindo mwingine... So lets see if you'll get down with him... Support ndo anachotarajia kutoka kwako fan... Stay Here, mzigo ukitoka utausikia hapa hapa pia.

0 maoni:

Post a Comment

Labels