Pages

Friday, December 14, 2012

Oliver Twist Ya D'Banj Yapata Nominations Nyingi WMA...

Ikiwa ni siku chache tu, toka star huyu wa muziki kutoka Nigeria, D'Banj [The Kokomaster] kuasini mkataba mnono na Sony Music na RCA ambao ndo watakuwa wakisimamia muziki wake duniani... 

Sasa nyingine mpya kabisa hivi leo kutoka kwa mwanamuziki huyu ni kwamba ametajwa katika vitengo vinne tofauti katika tuzo kubwa kabisa duniani yaani World Music Awards [WMA] kupitia single yake ya Oliver Twist ambayo imefanya vizuri sana mwaka huu...
  
D'Banj ambae pia ni member wa group au kampuni ya G.O.O.D Music inayomilikiwa na Kanye WestNigeria

kutoka Marekani amevunja record kama msanii aliyechaguliwa katika katika categories nyingi kutoka

Oliver Twist imeingia katika tuzo hizo kama, Best African Act, Best World Artist, Best Song of The Year na Best Music Video ambapo pia D'Banj atachapa show jukwaani katika tuzo hizo zitakazofanyika December 20, huko Miami, Florida.

0 maoni:

Post a Comment

Labels