Pages

Thursday, December 20, 2012

Radio Stations Kubadili Masafa Yake Ifikapo January Mwakani

Tukiwa tunakaribia kuingia mwaka mpya 2013, imeonekana kuwa karibu TV Stations na Radio StationsAnalouge kwenda katika masafa mapya ya Digital

Kwa wale watakao tumia Televisheni itawabidi kila mmoja awe na king'amuzi ili aweze kuona stesheni zote za hapa nchini. zote za hapa nchini zitalazimika kubadili masafa ya

        
Kwa wale watakao tumia Radio hawata husika na unununzi wa ving'amuzi ila itawabidi wabadili masafa mengine mapya tofauti na yale waliyokuwa wameyazoea. 

Kuna baadhi ya Radio zimeeshaanza kutangaza masafa yao mapya ambayo watakayoanza kutumia ifikapo hapo January 2013, Radio zenyewe ni pamoja na Clouds FM wa watakuwa wakipatikana kwenye masafa ya 88.5 FM badala ya 88.4 FM East Africa Radio pia itapatikana kwenye masafa ya 88.1 FM badala ya 87.8 FM. ambayo ndio ya sasa,

0 maoni:

Post a Comment

Labels