Pages

Wednesday, December 19, 2012

HUYU NI UJIO MPYA WA IZE MARTIN MWEZI JANUARI 2013


Niaje wadau nimependa kuwajulisha mapema kuwa endapo Mungu atatupa uzima mwezi wa kwanza mwaka 2013 nitaachia my new song inaenda kwa jina la HUYU.

Ngoma hiyo inamzungumzia msichana ambaye hajatulia kwenye mapenzi.

Nibonge moja la song kaa tayari kwakusikia mdundo na ngoma hiyo imefanyika na The Hit Maker ni KALALEE  ndani ya zico music

0 maoni:

Post a Comment

Labels