Pages

Friday, December 14, 2012

D'Banj Afungua Club Yake Mpya Ya Muziki Usiku Wa Leo

 Zaidi na zaidi vyazidi ku-make headlines kutoka kwa KokoMaster Himself... D'Banj, nyingine hii.... Dakika kadhaa zilizopita D'Banj ametangaza kufungua Club yake ya Muziki huko Nigeria.

D'Banj ambae ni msanii kutoka Nigeria mwenye mafanikio makubwa sasa, ametangaza kufungua club hiyo leo ijumaa na huku akielekeza sehemu ilipo huko Nigeria na inafahamika kama ONE ELEVEN.

Katika kuongezea, Kokomaster alianza kwa kuandika T.G.I.F (Thanks God Its Friday) kupitia ukurasa wake wa twitter na kusema kuwa bata la ufunguzi wa club hiyo [One Eleven] litafanyika kwa siku tatu mfululizo yaani kuanzia usiku wa leo

Check hapo chini:
Yeah Man!! thats another one hit from D'Banj... Nadhani wasanii wetu wanajifunza kitu hapa, This Is All MONEY... D'Banj is Doing it BIG!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels