Pages

Wednesday, December 12, 2012

PNC AFUNGUKA KUHUSU IMEBUMA


Licha ya mkali wa wimbo wa IMEBUMA kutoka katika kundi la Mtanashati Enteirnment namzungumzia PNC kumuimba Boss Ostaz Juma na Msoma na mmoja wa member wa kundi hilo si mwingine ni Janjaro kuwa wamebuma Leo katika kipindi cha 970 show kinachorushwa na Redio Kitulo Fm kinachosimamiwa na Mtangazaji Ergon Elly PNC amesema Hana ugomvi na mtu yeyote yule ila IMEBUMA ni Idea kama ya nyimbo zingine kama za wasanii wengine, na maana kuu ni kuwa kila msanii huwa anategemea kila anachokifanya kuwa kinaweza kufanya poa na mwisho wa siku matokeo yanabadilika.

Pia PNC amesema video imesha kamiliga ila bado hajapanga ni siku gain itaachiwa katika vituo mbalmbali vya Television

0 maoni:

Post a Comment

Labels