Pages

Friday, December 21, 2012

Album Ya Kala Jeremiah Sasa Yaingia Sokoni...

     
Wiki iliyopita msanii anaefanya muziki wa Hip-Hop ambapo kwa sasa anatamba na track lake la Dear God, Kala Jeremiah alitangaza kuwa album yake inayokwenda kwa jina la Pasaka itatoka siku ya tarehe 12 mwezi huu na kuanza kusambazwa madukani.
         
Sasa basi Kala ametangaza leo kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa album hiyo tayari ipo kwenye baadhi ya maduka ambayo ameyataja mwenyewe. Check hapo chini..

0 maoni:

Post a Comment

Labels