Pages

Friday, December 14, 2012

NEW MIXTAPE ;- YOUNG JEEZY - Les El Mundo ITS THA WORLD

 Kama unakumbuka, kipindi kifupi nyuma tulisema kuna mixtape ambayo rapper Young Jeezy alikuwa anaiandaa kwa ajili ya fans wake na kwamba itatoka kabla ya mwaka kuisha... Well its OUT!!! Les El Mundo ITS THA WORLD imeachiwa mtandaoni ikiwa imesheheni tracks kumi na saba (17) kali.

Mixtape hii imeachiwa ikiwa imeshirikisha wanamuziki wengi kutoka mtoni kama Birdman (Cash Money), Lil Boosie, Trey Songz, E-40 na wengine kibao... 

Ni mixtape ambayo unahitaji kuisikia if you are a fan of Young Jeezy and Hip-Hop... CHECK IT OUT!! >> http://goo.gl/iBKRW

0 maoni:

Post a Comment

Labels