Pages

Monday, December 17, 2012

RAPPER CANNIBAL AMEKANUSHA KUHUSU KUJITOA KATIKA KUNDI LA MAKINI MUSIC GROUP "MMG"

Rapper wa Kundi la MMG `Makini Music Group' Cannibal aliweka wazi weekend hii kuwa anajitoa MMG kupitia ukurasa wake wa Facebook.
 
Leo mchana kwenye Power Jams Ya East Africa Radio ,Cannibal amefunguka kuwa habari hizo sio za kweli na ukurasa wake wa Facebook uliingiliwa na watu na kutumiwa vibaya.

Pia Cannibal alisema bado yupo na Prezzo kwenye MMG.

Hii imetokea siku chache tangu wamerelease video yao mpya ya "MA CITY MA TOWN" tarehe 12 desemba 2012

 Cannibal kushoto akiwa na Prezzo CMB katika picha ya pamoja

0 maoni:

Post a Comment

Labels