Pages

Friday, December 07, 2012

WASANII WALIOONGOZA KUCHAGULIWA KWENYE VIPENGERE VINGI TUZO ZA GRAMMY 2013

Jay Z
 Kanye west

Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo za Grammy 2013 wametangazwa huku Jay Z na Kanye West wakiwa wasanii waliongoza kuchaguliwa kuwania tuzo zaidi katika vipengele tofauti tofauti.

Jay Z na Kanye West wamechaguliwa kuwania Tuzo katika Vipengele 'Category' 6.

Msanii mwingine ambaye naye yuko ngoma droo kwa kuchaguliwa naye katika vipengele 6 ni Frank Ocean ambaye hivi karibuni alijitangaza kuwa ni shoga.Anayefatia kwa kuchaguliwa ni msanii wa R&B Miguel ambaye amechaguliwa mara 5.

Wasanii wengine wa Hip Hop kama Drake, Nas, Lupe Fiasco, Ricky Ross nao wanawani Tuzo hizo katika 'Category' mbalimbali.Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Feb 10 mwakani.
Frank Ocean

0 maoni:

Post a Comment

Labels