Kiongozi wa kundi la Terror Squad maarufu kama Fat Joe ama Joe Crack ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Lean Back, What's Love, Aint say Nothing na nyingine nyingi.
Sasa latest news kutoka kwa rapper huyo ni kuwa yuko matatani
kutokana na kukumbwa na mashtaka ya kudaiwa kodi ya kiasi cha dola za
kimarekani $1 Million ambazo ameshindwa kulipa katika pato la taifa la mwaka 2007 na 2008.
Fat Joe kwa sasa yupo huru kwa dhamana ya dola za kimarekani $250 hadi hapo atakapo kuja kusomewa tena hukumu yake hapo April mwakani.
0 maoni:
Post a Comment