Pages

Thursday, December 20, 2012

[Video] Chris Brown Ajaza Fans Katika Mall Kubwa South Africa

 Chris Brown yupo South Africa akiendelea kuchapa show za Coca Cola Dome katika Ziara yake ya Carpe Diem, picha hapo juu inaonesha show yake ya Durban, SA. 

Ambapo alijaza watu wengi kuliko kawaida katika shopping Mall kubwa mjini humo. 

Mshindi huyo wa tuzo za R&B alijaza fans wa kutosha ikiwemo na show yake nyingine aliyoifanya jumatatu.

Chris alichapa bonge ya show, check video hapa

0 maoni:

Post a Comment

Labels