Pages

Tuesday, December 11, 2012

CANNIBAL NA CMB PREZOO KESHO TAREHE 12/12/2012 WATAACHIA VIDEO YAO


Baada ya kusubiria kwa muda mrefu, ile video katika ya Cannibal na Rapper Kutoka Makini Music, CMB Prezzo sasa kutoka wiki hii....

Hii ikiwa ni tamko la Prezzo himself, video inatarajiwa kutoka mapema wiki hii, more likely jumatano 12/12/2012.

Hii ni video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na fans.... "MA CITY MA TOWN" Cannibal & Prezzo.... Predictively it will be tight... lets sit tight and wait!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels