Pages

Wednesday, December 12, 2012

KALA JEREMAYA KUACHIA ALBUM IITWAYO PASAKA

Rapper Kala Jeremaya ambae alikuwa ni mshiriki wa Bongo Star Search sasa yuko mbioni kuachia album yake iitwayo ''PASAKA'' ambapo ndo itakuwa ni album yake ya kwanza kuiachia tangu aanze kuimba. 

Kala amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema kuwa album hiyo imebeba nyimbo 23 ikiwemo na nyimbo yenyewe ya Pasaka ambayo ndiyo imebeba jina zima la Album hiyo.

Soma zaidi alichokiandika rapper huyo....

0 maoni:

Post a Comment

Labels