Pages

Friday, December 21, 2012

[SONG] BRAND NEW;- DIAMOND PLATNUMZ - KESHO



 Hatimaye leo Diamond ameiachia rasmi audio ya wimbo wake mpya 'Kesho' Hii ni   Baada ya video ya track ya KESHO kuvuja, Sasa Diamond Platnumz ameachia wimbo wake Audio

Ngoma hiyo amerekodi MJ Records kwa The Hit Maker Marco Chali na kwa upande wa Video imefanyikia Nairobi Nchini Kenya chini ya Ogopa 

Diamond amemwagika na vocals za hatari ukiacha video kali ambayo aliifanyia Nairobi nchini Kenya.


Artist: DIAMOND
Song: KESHO
Producer: MARCO CHALI
Studio: MJ RECORDS


Unaweza kuusikiliza na kuudownload kupitia hapa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels