Pages

Friday, December 21, 2012

H-Baba Amtaja Mkewe Mtarajiwa


       
 Msanii anaefanya muziki aina ya Bongo Flava maarufu kama H-Baba na kutamba na baadhi ya vibao vyake kama Mpenzi Bubu, Nimekosa nini na vingine vingi tuu. 

Sasa habari kutoka kwa msanii huyu ni kuwa hivi sasa yuko mbioni kufunga pingu za maisha na mwenzie aitwae Flora Mvungi ambae nae pia ni msanii wa Bongo Movie. H Baba hivi karibuni alimtolea mahari mwanadada huyo na kudhihirisha kuwa siku yoyote anaweza kufunga ndoa na Flora.

Wawili hao ambao kwa sasa wameenda kupumzika na pia kupokea baraka kutoka kwa wazazi wake na H-Baba ambako ni Mkoani Mwanza

0 maoni:

Post a Comment

Labels