Pages

Wednesday, December 12, 2012

HANDS UP IMEKAMILIKA NI KUTOKA KATIKA KUNDI LA NO NAME

Single ambayo itakuwa ni kwanza kuachiwa kutoka katika kundi la No Name ambalo kundi hilo linaundwa na Producer P-Funk Majani,Lamar,Dunga,Karabani,Akili The Brain ambalo lilikuwa likifanya Track ya pamoja iitwa ''Hand Up''.

Mzigo huo umetengenezwa katika studio za Bongo Records,na pia kusema kuwa mzigo mzima utaachiwa leo kwenye mida ya saa sita Mchana katika radio stations zote za Bongo. 

Alisema hivyo Producer P-Funk Majani Kupitia Ukurasa wake Wa Facebook...

0 maoni:

Post a Comment

Labels