Pages

Thursday, December 06, 2012

SNOOP LION KUACHIA ALBUM YENYE MIONDOKO YA REGGAE

  
Rapper Snoop Lion also known as Snoop Dogg ni mwanamuziki wa siku nyingi,  kuanzia miaka ya 90 ambae alishatoa ngoma mbalimbali ambazo zilitamba na zinaendelea kufanya vizuri.

Story kubwa kutoka kwa rapper huyu ambazo zili-make headline kwa sana, ni kwamba sasa ameamua kuingia katika muziki aina ya Raggae na hivi karibuni anatarajia kuachia Album yake ambayo ndo itakuwa ni album yake ya kwanza kuitoa tangu alipoanza muziki huo au wa aina hiyo.


Album hiyo ambayo imebeba jina la Reincarnated na kuwa Produced na Diplo pamoja na Majer Lazer inatarajiwa kuachiwa mwakani, yaani 2013 chini ya usimamizi wa RCA Records. Aidha Snoop aliongeza kusema kuwa nyimbo hizo ambazo zipo ndani ya album hiyo ni zimeangalia sana upande wa Peace, Love na Struggle. 

Recently, unaweza kusikiliza ngoma yake ambayo ni mpya kabisa iitwayo "Here Comes the King"  kutoka kwenye album yake hiyo. Isikilize hapo chini. www.gongamx.com

0 maoni:

Post a Comment

Labels