Pages

Thursday, December 20, 2012

Meek Mill Ataja Album Bora Ambazo Amezikubali Kwa Mwaka 2012


         
Mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio kawa rapper Meek Mill, na MMG pia, kwani jamaa aliweza kuachia album yake ambayo ilibeba jina la Dreams And Nightmares na kuweza kufanya vizuri katika soko la mauzo ya Album nchini Marekani. 

Rapper Meek Mill, sasa ameweza kuweka wazi album ambazo kwa mtazamo wake yeye anaona ndo zimefanya vizuri katika kipindi chote cha mwaka mzima huu unaisha, yaani 2012

Alisema hayo wakati alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni kiitwacho Rap Up ambacho kipo Marekani.

0 maoni:

Post a Comment

Labels