Pages

Sunday, December 16, 2012

DIAMOND AFANYA VIDEO NCHINI KENYA WIMBO WAKE MPYA "KESHO"

Yeap!! That true Star anaeng'aa kwa sana hivi sasa nchini Tanzania, Diamond Platnumz a.k.a Rais Wa Wasafi anarekodi video ya ngoma yake mpya inayojulikana kama KESHO.

Diamond anaetamba hivi sasa na track Pamoja na video ya Nataka Kulewa na nyinginezo za nyuma, katika hali ya kuleta utofauti au kufanya video kali zaidi, anarekodi video hiyo huko Nairobi, nchini Kenya

Kesho ni video mpya inayofanywa na Diamond ambayo pia itawaonesha mastaa mbali mbali wa nchini humo.

Kama inavyoonekana (pichani) Platnumz anonekana na mwanamuziki mrembo kutoka Kenya, Avril ambae yeye ameshiriki kwa kiasi kikubwa katika video hiyo akiwa kama Video Queen.

0 maoni:

Post a Comment

Labels