Pages

Sunday, December 16, 2012

KICHUNA HUU NI UJIO MPYA KABISA WA BOB JUNIOR


 Latest kabisa kutoka kwa Bob Junior a.k.a Mr. Chocolate Flavor, hii ndo kazi itakayofuata kutoka kwake. 

Track itafahamika kama KICHUNA ikiwa imetengeneza na yeye mwenyewe.

Bob Junior anaetamba na ngoma yake ya Nichum, sasa yuko mbioni kuachia zigo lingine kwa fans na hii ikionekana kutengenezwa pale pale studio kwake, yaani SHAROBARO RECORDS.

0 maoni:

Post a Comment

Labels